CFAO's aftersales service

After we have delivered your vehicle we must be, more than ever, at your service.
In order to guarantee a quality service, we commit ourselves to provide:

Baada ya kukukabidhi gari yako, ni lazima tuwe pamoja na wewe katika huduma. Ili tuweze kukuhakikishia huduma bora, tunakuhakikishia kwamba tutakupatia huduma kama ifuatavyo:

1) Original spare parts:
Markets are full of poor quality fake spare parts, which very often put in danger your car's normal running as well as your safety.
Especially manufactured original spare parts with an impeccable quality of production are your only maintenance guarantee in accordance with the manufacturer's advocated norms. Their perfect compatibility guarantees a driving performance and a maximum safety.

Soko limejaa vipuli hafifu, hivi huwa vinaweza kusababisha gharama katika kuendesha  gari lako na pia huhatarisha maisha yako.
Vipuri vilivyo tengenezwa mahsusi na pia katika ubora wa juu ndivyo pekee tunavyoweza kuviwekea uhakika kutokana na watengenezaji wenyewe. Kutokana na vipuli hivi vinavyo wiana haswa tunaweza kuhakiki matumizi mazuri na pia ondoleo la hatari katika uendeshaji.


2) A qualified staff:
The increasing of vehicles complexity requires well-trained personnel to guarantee a good service. We guarantee our staff's regular technical training in partnership with the manufacturers.

Ongezeko lakiwango cha uhandisi katika matengenezo ya magari huwa unahitaji wafanyakazi wenye uwezo wa hali ya juu. Tunaweza kukuhakikishia kwamba wahandisi wetu wanapata nafasi nyingi za mazoezi kwa kutumia nguvu za viwanda vya magari.


services 
3) Well equipped workshops:
Our workshops are well equipped with specific tools for your vehicle maintenance, in particular with high-performance and modern diagnosis tools: immediate technical diagnosis which is guaranteed through real-time computing link to manufacturers' technical centres.

Karakana zetu zina vifaa vyote vinavyo hitajika kwa matengenezo ya gari lako, haswa kwa yale magari ambayo yanahitaji vifaa mahsusi na vya kisasa zaidi: kuna vifaa vya kutambua matatizo ya magari vinavyo tumia kompyuta na pia vilivyo unganishwa na viwanda moja kwa moja.

4) International warranty* :
CFAO's network guarantees the manufacturers' Warranty*: a further safety guarantee.
The Suzuki warranty* is : 12 months or 20 000 km, au 1er terme échu
* Warranty conditions have to be checked in CFAO’s network.

Mtandao wa CFAO unahakikisha viwanda vinatoa uhakiki kwa ajili ya kulinda hatari zozote kwa mteja zinazoweza kutokana na matengenezo mabaya. Suzuki inatoa kilomita elf 20 au mieze 12 ya uhakiki.

Unaweza kuhakikisha kuhusu hili na ofisi za mtandao wa CFAO.



5) Adapted commercial offers:
Depending on the country, CFAO's network offers you some complementary services:
puceRapid service: one hour maintenance without Rendez-vous
pucePackages: net prices for parts and services
puceMaintenance contracts: for professionals

Ofa tofauti na za zaidi:
Kwa kila nchi, CFAO huwa ina ofa zinazo tofautiana ambazo ni za bure
. matengenezo ya haraka ya saa moja bila ukiritimba.
. kutengeneza kwa mfumo maalumu wa karakana na vipuli.
. mkataba kwa ajili ya makampuni

a